Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao kilichuhudhuriwa na Mawaziri kutoka Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine ambacho kimejadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kikao cha kujadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kikao cha kujadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais)