Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt. Muslih Hijja, akiisalimiana wachezaji wa timu ya Spice Stars.
Kikosi cha timu ya Spice Stars kilicholaziishwa kufungwa mabao 2--0 na timu ya Azam.
Mchezaji wa timu ya Azam akiwapita mabeki wa timu ya Spice Stars ya Zanzibar, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Azam imeshinda 2--0
Mshambuliaji wa timu ya Azam wakiwatoka mabeki wa Spice StarsHapa kazi tu ndivyo inavyoonesha akisema beki wa timu ya Spice Stars katika mchezo wa Mapinduzi Cup, timu ya Azam imeshinda 2--0
Msuguano baina ya mchezaji Michaei Baluu Wilfred akipambana na mlinzi wa Spice Zanzibar katika mechi ya Kombe la Mapinduzi. Azam ni Mabingwa Watetezi wa Kombe la Mapinduzi.
Mwandishi wa Habari na Wakala wa Wachezaji anaetambuliwa na FIFA Ally Saleh akihojiwa na mtangazaji wa ABM FM Abdullah Majura wakati wa kipindi cha mapumziko katika mechi ya Kombe la Mapinduzi baina ya Azam FC na Spice Zanzibar, kikosi kinachouundwa na vijana wa chini ya umri wa miaka 23.Benchi la Ufundi la timu ya Spice Stars wakifuatilia mchezohuo wakati wakiwa timu yao iko nyuma ka mabao 2--0 dhidi ya Azam.
Mshambuliaji wa timu ya Spice Stars akiwapita mabeki wAzam.katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi.Mashabiki wakishangilia kwa staili ya Beni (Mbwa kachoka)
Mambo ya mpira hayoo mdau wangu
Mshambuliaji wa timu ya Spice Stars ya Zanzibar akimpiga chenga beki wa timu ya Azam.
Mshambuliaji wa timu ya Spice Stars akimpita beki wa timu ya Azam.
Beki wa timu ya Azam akikokota mpira kuondoa golini kwao, huku mchezaji wa timu ya Spice Stars akiwa nyuma.
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika katika viwanja viwili vya Gombani Pemba na Amaan Unguja.
Madau mambo ya Live ya Azam TV ndani ya Uwanja wa Amaan.
Beki wa Azam akiondoa mpira golini kwake
Mchezaji wa timu ya Spice Stars, akimiliki mpira huku beki wa timu ya Azam akijiandaa kumzuiya.wakati wa mchezowa Mapinduzi Cup uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Azam imeshinda kwa mabao 2--0