Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki...
View ArticleUWEKEZAJI WA SERIKALI KATIKA BANDARI YA TANGA WAENDELEA KULIPA TPA NA TRA...
Na Oscar Assenga TangaFEDHA zilizotolewa na serikali kiasi cha shilingi bilioni 429.1 kwa ajili ya uwekezaji katika bandari ya Tanga, fedha hizo zimerudi na kubaki salio la shilingi bilioni 56.7.Hayo...
View ArticleWAAJIRI WAHIMIZWA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA WATUMISHI KURAHISISHA UTOAJI WA MAFAO
Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kuhusu akiba kwa Mzee Abuu Masro, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika...
View Article(Z-NCDA) imeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mkakati wake wa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Muungano wa Jumuiya ya Maradhi Yasioambukiza Zanzibar Dk Said Gharib Bilal akifungua Mkutano wa ushawishi na utetezi na kubadilishana uzoefu huko Jumuiya hiyo...
View ArticleMSITUMIKE VIBAYA KABLA, WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI-BODABODA-TUNDUMA
Na Issa Mwadangala.Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali...
View ArticleDKT. MWAMBA AHAMASISHA WANAWAKE KUWA MABALOZI WA MABADILIK
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bi. Fauzia Nombo, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, katika hafla ya Kikundi...
View ArticleMSINUNUE WALA KUUZA MIFUGO YA WIZI-KAPELE-MOMBA
Na Issa Mwadangala.Wafanyabiashara na wafugaji katika Kijiji cha Kasinde Kata ya Kapele Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wametakiwa kuacha mara moja tabia ya kununua au kuuza mifugo ya wizi, kwani kufanya...
View ArticleMAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MTEULE...
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Mteule Dkt. Daniel Henry Mono, baada ya kusimikwa kuwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mwanga katika ibada ya kuwekwa...
View ArticleArticle 1
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, bi Fatma Hamad Rajab ametia Saini Hati ya Makubaliano (MOU) na Kampuni Haryana State Electronics Development Corporation (Hartron) ya Nchini...
View ArticleInnalilahi wa Innailaihin rajiuun Allah ailaze roho ya marehemu pahala pema...
Kwa niaba ya Taasisi ya Wahitimu wa Lumumba (Lumumba Alumni Association - Zanzibar - LUAZA) tunasikitika kutangaza kifo cha Mwalimu Mkuu wetu Mstaafu wa Lumumba kwa mwaka 1981-1983, Maalim Ali Rajib...
View ArticleWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amefunga...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufunga Maonesho hayo, katika viwanja via maonesho Sabasaba...
View ArticleMWAIPAJA: TUTAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAJUKWAA MENGINE BAADA YA SABASABA
Mkuu wa Kitengo chanMawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja,akiwapongeza wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha wakati wa mahojiano na Mwandishi wa Habari Bw. Richard...
View ArticleMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Aendelea na Ziaya Mkoa...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema kukamilika kwa ujenzi wa diko na soko la kisasa la samaki katika eneo la Fungurefu lililopo Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,...
View ArticleRais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Mwisho cha Baraza la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Kikao hicho cha Baraza...
View ArticleWatendaji uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wafundwa
 Na. Mwandishi wetu.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewaasa watendaji wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kufanya kazi kwa kuzingatia Katiba, Sheria, Kanuni, miongozo na maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na...
View ArticleUjumbe wa Wataalamu Kutowa Mafunzo Kutambua Magonjwa Mbalimbali
 Na.Mwandishi Wetu.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea ujumbe wa wataalamu kutoka nchi mbali mbali duniani ukiwa na lengo la kutoa mafunzo kwa watendaji wa Taasisi ya utafiti wa Afya  ZAHRI wa...
View ArticleArticle 0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema wakati umefika kwa wanahabari wa Kiafrika kuonesha taswira nzuri ya Bara la Afrika kwa kuandika habari chanya zenye...
View ArticleSMZ Kupitia Wizara ya Afya Itaendelea Kushirikiana na Shirika la Afya...
Na.Mwandishi Wetu.Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Afya itaendelea kushirikiana na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO katika...
View ArticleRais Mstaafu wa Tanzania Dkt Kikwete na Malala Waonya : Bajeti ya Elimu...
 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati yeye na mwanaharakati wa elimu wa kimataifa na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Malala Yousafzai walipotembelea shule ya sekondari ya Kibasila...
View ArticleRais wa Zanzibarb na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi...
MUONEKANO wa Jengo Jipya la  Ofisi Kuu ya  Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)  lililofunguliwa leo 16-7-2025  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi RAIS wa...
View ArticleHATI MILKI ZA ARDHI 1,176 ZATOLEWA MAONESHO YA SABASABA
Msajili wa Hati Msaidizi mkoa wa Dar es Salaam Burton Ruta (kushoto) akimkabidhi Hati Milki ya Ardhi Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Mhe. Aisha Bade wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara...
View ArticleDKT. YONAZI AIPONGEZA SERIKALI MAGEUZI SEKTA YA KILIMO
Na Mwandishi wetu- MorogoroSerikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepongezwa kwa kuendelea kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Kilimo kwa lengo la kuongeza...
View ArticleTOO MUCH YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA NGALAWA FUMBA
NA FAUZIA MUSSANGALAWA ya Too Much imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya mbio za ngalawa yaliyofanyika katika Bahari ya Fumba, Shehia ya Fumba, huku mashindano hayo yakishuhudia ushindani...
View ArticleWANANCHI NACHINGWEA WANUFAIKA NA MIKOPO NAFUU, WAIKIMBIA "KAUSHA DAMU"
Mkurugezi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea Mhandisi chionda Kawawa akimkabidhi bajaji ya mkopo ya asilimia 10 ndugu Hamis Chilumba ikiwa ni sehemu ya shilingi milioni 649,781,998...
View Article