Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiwa amesimama kupokea heshima ya kijeshi katika eneo la Makumbusho la Public
Square Jijini Luanda, Angola kabla ya kwenda kuweka shada la maua katika
mnara wa kumbukumbu wa Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto
wakati wa Ziara yake ya Kiserikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akitoa heshima kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi
wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto
katika eneo la Public Square wakati wa Ziara yake ya Kiserikali Jijini
Luanda nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square wakati wa Ziara yake ya Kiserikali Jijini Luanda nchini humo.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni Maalum mara baada ya kutembelea Makumbusho
ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini
Luanda nchini humo.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa
Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto
katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo

Image may be NSFW.Clik here to view.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa
Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto
katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo.