Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibiti, Twaha Mpembenwe, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Thea Ntara, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Simba Jerry Silaa ambaye ni mtoto wa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa (kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 8, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi kwenye Jengo la Utawala, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)