Mapinduzi tena Misri
CAIRO, MisriJESHI nchini Misri limeipindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Mohammed Morsi, mwaka mmoja tu tokea achaguliwe.Mkuu wa Majeshi Jenerali, Abdul Fattah al-Sisi alisema Morsi,...
View ArticleWaislamu watakiwa kuondosha tafauti zao
Na Aboud MahmoudWAISLAMU nchini wametakiwa kuondosha tofauti zao katika kulingania dini na kuendelea kuwaelimisha vijana juu ya mustakabali mzima wa dini yao.Wito huo umetolewa na Sheikh Al-Alama...
View ArticleWarioba ataka mabaraza ya Katiba yasiingiliwe
Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na waandishi wa Habari (hawamo pichani) jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuundwa kwa mikutano ya mabaraza ya katiba...
View ArticleHaki, Uhuru wa habari uingizwe kwenye katiba
Shifaa Said na Husna MohammedBARAZA la Habari Tanzania (MCT) na wadau wa habari wamesema kuna haja ya kuingizwa kwa kina masuala yanayohusu haki na uhuru wa habari katika rasimu ya katiba ili maoni na...
View ArticleSMZ yaahidi kusimama na matakwa ya wazanzibari katiba mpya
Kauthar Abdalla na Asya HassanSERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema itahakikisha kuwa itasimama na matakwa ya Wazanzibari kwa kuwatetea na kuwasimamia kwa yale yote watakayokubaliana katika...
View ArticleVyama vya ushirika vyatakiwa kujiendesha kiuchumi
Na Khamisuu AbdallahVYAMA vya ushirika vinapaswa kuimarishwa na kuendeshwa kiuchumi na kibiashara ili kuviongezea uwezo wa kustahamili misukosuko ya kiuchumi.Akitoa taarifa maalum ya Serikali, katika...
View ArticleKutoka Baraza la Wawakilishi Zenj....
Askari wa Baraza la Wawakilishi akitembea kwa ukakamavu akiongozwa bwaride la Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa kwa kikao cha asubihi kwa ajili ya mapumziko Mwakilishi wa Jimbo...
View ArticleDarasa la Nne la Vijana Wajasiriamali Jimbo la Kikwajuni.
Wanafunzi wa Darasa la Mafunzo ya Wajasiriamali katika Jimbo la Kikwajuni wakiwa na Mwalimu wao baada ya kumaliza mafunzo ya kuwawezesha kujiajiri na kukabidhiwa Vyeti vyao vya kihitimu mafunzo hayo ya...
View ArticleKumtafuta Mkali wa Muziki wa Bongo Star Search ndani ya Zenji....
Washiri wa Bongo Star Search wakisubiri kuitwa kushiriki katika ngwe ya lala salama kuchaguliwa washindi watano watakaokwenda Dar.Washiriki wa Bongo Star Search wakisubiri nafasi ya kuhojiwa ili...
View ArticleLigi ya Mabenki MNB yatowa elimu ya kwa PBZ
Viongozi wa Timu ya Benki ya NMB wakitowa maelekezo kwa wachezaji wao wakati wa mapumziko ya mchezo ao na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ, wakiwa wameshinda bao moja kwa bila.Mchezaji wa timu ya NMB...
View ArticlePBZ yaadhimisha 'Birth Day' ya 47
MAENDELEO yaliyopatikana na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) katika kipindi cha miaka 47 ya uhai wake, yameelezwa kutokana utendaji makini na ushirikiano kati ya viongozi mbalimbali waliowahi kushika...
View ArticleDkt. Salmin Anguruma Mkutano wa CCM kibanda Maiti Zenji...........
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar na...
View ArticleJumuiya ya wazamiaji na uokozi yazinduliwa
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Jumuiya ya Wazamiaji na Uokozi Zanzibar imetakiwa kutanua wigo wa utendaji kazi zake ili pia ijishughulishe na uhifadhi wa mazingira badala ya kufanya kazi za uokozi...
View ArticleMama Awena awataka walimu wa Madrasa kuwapatia watoto elimu bora
Mwanafunzi Aboubakar Haji, mwenye ulemavu wa macho, ambaye amehifadhi Juzuu Tano, akisona Qurani katiika mashindano ya Tahfidhi Qurani huko Fidel Castro kisiwani Pembajana, (Picha na Abdi Suleiman,...
View ArticleMkutano wa Uongozi wa Wafanyakazi wa PBZ Ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 47
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour Ali, akizungumza na Wafanyakazi wa PBZ katika mkutano wa Uongozi uliofanyika katika hoteli ya Mazsons Shangani, ili kuboresha huduma za Benki...
View Article