Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassanakiangalia historia ya Kiwanda
cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara
yake Jijini Luanda nchini Angola
Image may be NSFW.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel GonçalvesLourenço wakati akihitimisha ziara yake ya Kiserikali,
Luanda nchini Angola.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiagana na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel GonçalvesLourençowakati akihitimisha
ziara yake ya Kiserikali, Luanda nchini Angola.
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanakihitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025.