Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,Hassan Khatib,(kulia) alipotembelea banda la Ofisi ya faragha Ikulu,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,Salum Maulid Salum,(katikati) alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Afisa katika Banda la Ofisi ya makamo wa kwanza wa Rais Hamza Rijali,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Salum Kassim Ali,alipotembelea banda la ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono Maafisa katika banda la Tume ya Uchaguzi Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed akisalimiana na Maafsa katika banda la Ofisi ya Mufti wa Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(katikati) ni Katibu wa Mufti Fadhil Suleiman Soraga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Ofisi ya Vitambulisho vya Taifa,wakati alipofungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Watoto hawakua nyuma kufika katika banda la Sober House,wenye Makamo yao Kwamchin Mwanzo,katika kujionea maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Wizara ya Kilimo,kuangalia Miche mbali mbali ya kilimo,baada ya kuyafungua maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Mabanda ya Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,kama yanavyoonekana yakiwa katika sura ya kupendeza
Washauri wa Rais na Viongozi mbali mbali wakiwa katika Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu