Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Siti bint Saad

$
0
0

A7704Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel jana,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya mapinduzi Ya zanzibar (katikati) Bibi Nasra  Mohamed Halal Mwenyekiti wa Taasisi. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7816Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi na wananchi wakati alipozindua Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7724Watoto wakiimba nyimbo mbali mbali za michezo  ya kizamani ikiwemo nyimbo ya ukuti,wakati wa  Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7730Wananchi waliohuduria katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake ikiwa  ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7746Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi ni miongoni mwa Wananchi waliohuduria katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,taasisi hiyo iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa  ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
A7767Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,(kushoto) akiwa mlezi wa  Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad akifuatiwa na Mwenyekiti wake Bibi Nasra  Mohamed Halal, wengine kulia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo  Said Ali Mbarouk,wakiwa katika Uzinduzi wa Taasisi hiyo iliyozinduliwa jana katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hote, ikiwa  ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7777Prof Laura Fair, aliyefanya utafiti na kutunga kitabu cha wa mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,akizindua kitabu hicho wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya mwanaharakati huyo iliofanya jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shei,(hayupopichani) katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel mjini Unguja,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7779Historia ya Harakati za wanawake iliyotolewa na Dk.Amina Ameir,mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7781Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kumpongeza Dk.Amina Ameir,baada ya kutoa Historia ya Harakati za wanawake katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7789Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakiangalia picha ya Bibi Siti Binti Saad,iliyokuwa ikipigwa mnada katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika  ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]A7802Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saa,Bibi Nasra Mohamed Hilal,alipomkaribisha mlezi wa taasisi hiyo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,kuzungumza machache ili nae amkaribishe mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kutoa hutuba yake na kuizindua rasmi katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>