$ 0 0 ASKARI wa Usalama barabarani akiongoza magari katika kituo kipya cha daladala kisiwandui kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilohuwa na msongamano mkubwa na kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo wakati wa mchana.