Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na Waziri wa Elimu na Ufundi wa Tanzania Bara, Shukuru Kawambwa (kushoto) walipokutana na maofisa wa Wizara hizo kuona ntafauti zinazojitokeza katika pande hizi mbili katika Elimu na kuondoa dosari hizo kupitia kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi ya Wiaza ra Elimu Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar jana.
Waziri wa Elimu na Ufundi wa Tanzania Bara, Mhe.Shukuru Kawambwa akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na Viongozi wa pande mbili za Wizara za Elimu kuondoa na kujadili mapungufu yaliojitokeza katika Sekta ya Elimu katika pande hizo na kuzichukulia ufumbuzi wake kupitia kikao hicho.