$ 0 0 Makamuo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi , akifunga semina ya siku moja iliohusu Mafuta na Gesi Zanzibar. ilioandaliwa na Kampuni ya Kimataifa ya Shell, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Chukwani.