Kilimo cha Mwani ni moja ya kilimo kinacholimwa na Wananchi walio kando ya bahari kutokana na kipato chake husaidia wakulima wa Zao hilo, Kama wanavyoonekana Wakinamama wa Kijiji cha Kojani wakiwa katika eneo lao la kilimo hicho kattiba bahari ya kujani wakipanda mwani.