Nasiha Ya Ijumaa Maamkizi Ya Kiislam 'Assalaamu 'Alaykum'– Amri Na Fadhila Zake - 44 – Nidhamu Zake Tukiendelea katika mafunzo ya maamkizi ya Kiislamu na fadhila zake, tutazame nidhamu ya kuamkiana ilivyo. Tuangalie ni yupi aanze kutoa salaam? Wepi wanaofaa kutolewa salaam n.k. عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ((يسلم الراكب على الماشي، والماشي على القاعد، والقليل على الكثير)) متفق عليه وفي رواية للبخاري: ((والصغير على الكبير)) Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu 'anhu) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Aliyepanda (kipando) amsalimie anayetembea, anayetembea amsalimie aliyeketi na wachache wawasalimie walio wengi)) [Al-Bukhaariy na Muslim]. Na katika Riwaaya ya Al-Bukhaariy ((Mdogo amsalimie mkubwa)). | |||
Lu-ulu-un-Manthuwrun - Hadiyth Ya 44: Allaah Akimpenda Mja Anamnadia Jibriyl Na Kumuamrisha Ampende Pamoja Na Woteعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((إِذَا أَحَبَّ اللَّهُ الْعَبْدَ نَادَى جِبْرِيلَ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ فُلاَنًا فَأَحْبِبْهُ, فَيُحِبُّهُ جِبْرِيلُ, فَيُنَادِي جِبْرِيلُ فِي أَهْلِ السَّمَاءِ: إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ فلاَنًا فَأَحِبُّوهُ, فَيُحِبُّهُ أَهْلُ السَّمَاءِ ثُمَّ يُوضَعُ لَهُ الْقَبُولُ فِي الْأَرْضِ)) متفق عليه Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: ((Allaah Anapompenda mja, Humnadia Jibriyl: Hakika Allaah Anampenda fulani, nawe mpende. Basi Jibrily humpenda. Naye Jibriyl anawanadia watu wa mbinguni : “Hakika Allaah Anampenda fulani, nanyi mpendeni. Basi nao walioko mbinguni humpenda, halafu huwekwa kabuli katika ardhi )) | |||
Ucha Mungu Ndio Siri Ya MafanikioNakuusieni pamoja na nafsi yangu katika jambo la kumcha (kujichunga na makatazo Yake na kutii amri Zake) Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) katika kila jambo. Kwa sababu kumcha Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) ni silaha bora kupita zote mbele ya kitu chochote. | |||
| |||
AHMAD AL-JAZAAIRY Mawaidha Kwa Lugha Ya Kiarabu Yamefasiriwa Na Abu Haashim | |||
|
↧
asihi ya Ijumaa
↧