$ 0 0 Kari limeacha njia na kupanda juu ya kidaraja kidogo ,katika krosi ya Fuoni mskiti wa waarabu njia ya chunga asubuhi leo. Katika ajali hii hamna mtu alipoteza maisha