Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

SHULE YA SEKONDARI MABIBO NA UBALOZI WA JAPAN WASAINI MKATABA WA WENYE THAMANI YA USD 118,873,KWA MRADI UJULIKANAO KAMA "Grassroot Human Security"

$
0
0

Mstahiki Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan
 Mstahiki meya akiendelea kuzungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan
 Baadhi ya walimu na wanafunzi wa mabibo sekondari
 Balozi wa Japani Nchini Tanzania Balozi Masaki Okada akitia saini ya Ujenzi wa Maabara ya Shule ya Sekondary Mabibo, na Mstahiki Meya wa Manispa ya Kinondoni, Ndg. Yussuph Mwenda.
Mkataba wa Mradi wa ujenzi wa  Maabara ya Kisasa mradi huo unaojulika kwa jina la "Grassroot Human Security" ambao utagharimu kiasi cha USD 118,873 ambazo ni takribani mil 193 za kitanzania umesainiwa leo na Balozi wa Japani Nchini Tanzania Ndugu Masaki Okada mbele ya Mstahiki meya wa Manispaa ya Kinondoni ndugu Yusuph Mwenda na Mkurugenzi wa Manispaa Eng Mussa Natty. 

Mkurugenzi wa Manispaa Eng Mussa Natty wa kwanza kulia akishuhudia utiaji sahihi wa mikataba hiyo
Mstahiki meya wa Manispaa ya Kinondoni Yussuph Mwenda akiwa na  Balozi wa Japani Nchini Tanzania Ndugu Masaki Okada
        Muonekano wa shule ya sekondari Mabibo
             Majengo ya shule ya sekondari mabibo
Mwalimu alipokuwa anakaribisha Ugeni Kutoka kushoto Mstahiki meya, Balozi wa Japan, Mkurugenz wa manispaa na Mkuu wa Shule ya  mabibo sekondari
mkurugenzi wa manispaa Eng mussa Natty akisalimiana na Mwalimu alipotembele moja ya madarasa kuona ufundishaji unavyoendelea.
Wanafunzi wakifurahia ugeni uliowatembelea  katika shule yao.
Picha ya pamoja na  Balozi wa Japan na Viongozi wa Manispaa ya kinondoni na Walimu wa mabibo sekondari.
Balozi akiwa anaondoka eneo la shule ya sekondari Mabibo



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>