Wananchi wakiangalia gari yenye namba za usajili Z 150 BG, iliokuwa ikiingia kituo cha mafuta darajani na kutokuwa makini kwa dereva wake na kugonga galoni la mafuta katika kituo hicho likiwa jirani na moja ya mashine za kituo hicho, kama inavuoonekana pichani gari hiyo ikiwa imelikanyaga galoni hilo na kuikaribia mashine ya kituo hicho. Katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa na kusababisha hashara ya mafuta ya shilingi 15,000/=
Dereva wa gari ndogo ya Vizt, mwenye fulana nyeusi akibishana na dereva mwezake wa Shirika la Umeme Zanzibar, ambae ameikwaruza gari yake wakati akipita katika mtaa wa mtendeni Zenj, Wananchi wakijaribu kusuluhisha kesi hiyo ikichukuliwa gari hiyo haikuumia ili ilipata mchubuko wa mkwaruzo..