Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe Ndg. Mohammed Baloo na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania Ndg. Nicola Morganti azingira , wakitiliana saini ya Makubaliano ya Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza Ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation) makubaliani hayo yamefanyika katika Ofisi za Jumuiya hiyo Forodhani
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe Ndg. Mohammed Baloo na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania Ndg. Nicola Morganti, wakibadilishana mikataba baada ya kutiliana saini ya Makubaliano ya Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza Ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation) makubaliani hayo yamefanyika katika Ofisi za Jumuiya hiyo Forodhani
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi Mji Mkongwe Ndg. Mohammed Baloo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini na Jumuiya ya ACRA, katika mradi wao wa miaka mitano.wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza Ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation)
Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania Ndg. Nicola Morganti, akizungumza katika hafla hiyo na kutowa maelezo ya mradi huo kwa Uongozi wa Jumuiya hiyo, wakati wa kutiliana saini ya makubaliano hayo ya Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza Ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation) makubaliani hayo yamefanyika katika Ofisi za Jumuiya hiyo Forodhani
Wajumbe wa Bodi ya Udhamini ya Jumuiya hiyo wakifuatilia hafla hiyo.