Dkt. Shaka Mwandishi wa Voice of American, akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo, wakati akiwa katika ziara yake nchini Zanzibar.
Dkt. Shaka akisisitiza jambo wakati akiwa na mazungumzo na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar.Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar wakimsikiliza Dkt. Shaka alipofika kuzungumza nao kuhusiana na waandishi wa habari na kazi za habari duniani
Wadau wa habari wakiwa makini wakimsikiliza Dkt. Shaka, wakati wa mzungumzo na wanafunzi hao.
Dkt. Shaka akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar.
Wakiwa makini kusikiliza maswali ya Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar, wakimuuliza Dkt. Shaka.