Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiana cha EU Eric Beaume, akifuatilia utilianaji wa saini hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Khamis Mussa, akifafanua hafla hiyo ya utilianaji wa saini yaMakubaliano na EU Mradi wa Umeme wa Upepo, baada yautilianaji wa saini hiyo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi Zanzibar.