Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Khamis haji, na baadhi ya viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Meo 6, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania,. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini, kutoka (kushoto) ni Katibu Mkuu wa BAKWATA, Sheikh Suleiman Loila, Askofu Dkt. Alex Malasusa na (kulia) ni Sheikh Khamis haji, wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo
Baadhi ya wadau wa mkutano huo waliohudhuria, kutoka (kushoto) ni Wilfred Mlay, Dkt. Willibrod Slaa, Hellen Kijo-Bisimba na wengineo wakishiriki dua ya pamoja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo
Askofu Dkt. Alex Malasusa, akizungumza wakati wa Mkutano huo.
Baadhi ya wadau wa mkutano huo waliohudhuria, kutoka (kushoto) ni Wilfred Mlay, Dkt. Willibrod Slaa, Hellen Kijo-Bisimba na wengineo wakishiriki dua ya pamoja.
Baadhi ya wadau waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akifungua ramsi mkutano huo wa mazungumzo Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja kati ya washiriki wa mkutano huo, Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro, Prof. Juma Mikidadi, wakati akiondoka baada ya kufungua rasmi mkutano huo. leo jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja kati ya washiriki wa mkutano huo, Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro, Prof. Juma Mikidadi, wakati akiondoka baada ya kufungua rasmi mkutano huo. leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa dini, wakati akiondoka kwenye Hoteli ya White Sands baada ya kufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo. Picha na OMR