Dk, Fatma Khamis Issa, akisoma risala katika maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliofanyika katika ukumbi wa 'Jamuhuri mjini Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba (picha na Asha Salim, Pemba).
Ofisa Mdhamin Wizara ya afya Pemba, Dk Mkasha Hija Mkasha, akitoa maelezo juu ya umuhimu wa huduma za afya kwa jamii, katika maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliofanyika katika ukumbi wa 'Jamuhuri Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba (picha na Asha Salim, Pemba).