LUTENI Jenearli Makalala wa JWTZ pia mkufunzi mkuu wa chuo cha Ulinzi wa taifa Tanzania 'NDC' akimkabidhi utambulisho maalumu wa chuo hicho, Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba meja msataafu Juma Kassim Tindwa, kabla ya ya majeshi wa nchi za Namibia, Nigeria, Zimbabwe, Kenya, Ruwanda na wenyeji Tanzania ambao ni wanafunzi wa chuo hicho, kuanza ziara yao ya kutwa moja kisiwani Pemba
MRATIBU wa Idara ya Makumbusho na mambo ya kale Pemba Khamis Ali akiwapa maelezo juu ya makubusho na historia ya makaazi na utamaduni wa mswahili, kwa wanafunzi wa chuo cha Ulinzi wa taifa 'NDC' kutoka nchi za Nigeria, Zimbabwe, Kenya, Ruwanda, na wenyeji Tanzania, wakati walipokua na ziara ya kutwa moja kisiwani Pemba
MKUU Idara ya Mkaumbusho na Mambo ya Kale Pemba Khamis Ali, akiwapa maelezo wanafunzi wa chuo cha Ulinzi wa taifa Tanzania, kutoka Nigeria, Ruwanda, Kenya, Zimbabwe na wenyeji Tanzania walipokua kwenye makumbusho ya HAROUN enel la Chwaka Tumbe ambapo kulijengwa msikiti wivu
WAKIWA kwenye ukaguzi wa eneo la Chwaka Tumbe Pemba