Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Balozi Seif Azindua Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto Kijiji cha Bwejuu.

$
0
0
 
Vijana wa Sarakasi wa Kijiji cha Muungoni wakitoa burdani ya aina yajke kwenye hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Afya cha Mama na Watoto cha Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini.

Mandhari ya nje ya Kituo cha Afya cha huduma za Mama na Watoto cha Kijiji cha Bwejuu kilichofunguliwa rasmi kutoa huduma na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Sheni.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shen akikata utepe kuashiria kukifungua rasmi Kituo cha Afya cha Mama na Watoto katika Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.  
Mwakilishi wa Taasisi ya misaada ya Afya ya Kimataifa ya New Hope Sweeden Bwana Jackob Moiwawa akiwasilisha salamu za Taasisi hiyo kwenye hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Afya cha mama na watoto Bwejuu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wananchi wa Bwejuu mara baada ya kukifungua Kituo cha afya cha Kijiji hicho kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Sheni.Kushoto ya Balozi ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unaguja Dr. Idrissa Islam Hijja na Kushoto yake ni Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jamala Adam.
Mkurugenzi wa Hoteli ya Zanzibar Collection Breeze Bwana Adriano Fusillo akiwapongeza wananchi wa Bwejuu kwa ushirikiano na wafanyakazi wa hoteli yake kwenye fafla ya ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Bwejuu.

 Balozi Seif akiangaliabaadhi ya Vitanda vitakavyotumiwa na Watoto watakaozaliwa katika Kituo cha Afya cha Mama na Watoto cha Kijiji cha Bwejuu mara tuu baada ya kukifungua rasmi.










Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>