Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassaor Ahmed Mazrui akiwa na Naibu wake Thuwaiba Edington Kisasi (watatu kushoto) wakiangalia mashine ya kusagia buni walipotembelea kiwanda hicho eneo la Mwakaje, Wilaya ya Magharibi Unguja.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassaor Ahmed Mazrui akipata maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Kiwanda cha ZATEPA, kinachotengeneza bidhaa zinazotokana na tungule, majani ya chai na kahawa Winy Rongoma alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kutembelea viwanda vya Zanzibar.
Kiongozi wa Kiwanda cha Zanzibar Spice kilichopo Kiembesamaki Mohd Mahmoud wakwanza (kulia)akimueleza Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui changamoto wanazokabilina nazo katika maandalizi ya kusafirisha bidhaa za viungo nje ya nchi. Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Thuwaiba Kisasi.
.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassoro Ahmed Mazrui akizungumza na waandishi wa habari alipomaliza kutembelea kiwanda cha ZATEPA ambapo aliridhishwa na juhudi zake na kuwakemea wale wanakipa sifa mbaya kiwanda hicho.

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akiwa na Naibu waziri wake Thuwaiba Kisasi wakiangalia mashine ya kusagia viungo alipotembelea kiwanda cha Zanzibar Spice katika eneo la Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja.
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).