Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi, walipokutana leo katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
[Picha na Mpiga Picha Wetu.]