WAKATI skukuu ya Idd El fitr ikiwa imekaribia wananchi na wafanyakazi mbali mbali, ambao wanapokelea mishahara yao Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Chake Chake Pemba, wakiwa katika foleni kusubiri kupatiwa huduma hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)