Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika wakitembelea Mlima wa Jade Dragon ulioko nje ya mji wa lijiang China wakiwa katika ziara ya kimasoma Nchini China ilioandaliwa na Kituo cha Taifa cha Habari Beijing
Waandishi wa Habari na Maofisa Habari kutoka Nchi za Afrika wakiwa katika eneo la juu ya Mlima Dragon ulioko nje ya mji wa lijiang China , wakati katika ziara yao ya kimasomo katika mji wa lijiang
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali Nchini China wakiwa katika foleni ya kupanda mlima huo kwa kutumia usafiri maalum ilikufika kileleni yam lima huo ili kujionea mandhari ya eneo hilo . Wananchi wengi wa ndani na nje ya China hufika katika eneo hilo na kutembelea na kupiga picha za kumbukumbu katika eneo hilo
WANANCHI wa China hutumia Utalii wa ndani kutembelea sehemu mbalimbali za historia za China kama wanavyoonekana Wananchi hawa wakiwasili katika eneo la viwanja vya Jade Dragon Mauntain kupanda mlima huo ulioko katika mji wa Lijiang China hivi karibuni
Waandishi wakiwa wamepozi kileleni mwa mlima huo, kutoka kulia Ndg. Abel Fayiah (Liberia)h Ndg. Sesay Alusine (Sierra Leone) Ndg Austine Jonathan (Nigeria) Ndg. Charles Manase (South Sudan) na Othman Maulid (Zanzibar) aliyesimama nyuma.