Naibu Mkurugenzi wa Utalii katika Mji wa Lijiang Bi Ma Li Yuan, akizsungumza na waandishi wa habari na Maofisa Habari kuhusiana na Ukuaji wa Utalii katika mji huo,ambao huigiza kipato kikubwa kupitia Utalii wa ndani katika mji wa lijiang.
Waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika wakimsikiliza Bi Ma Li akizungumzia mafanikio ya Utalii wa ndani katika mji wa lijiang ambao huingiza mapato makubwa kupitia malipo yanayopatikaka katika kutembelea sehemu za Utalii kwa wananchi wanaotembelea sehemu hizo
Kiongozi wa msafara wa Waandishi wa Habari na Maofisa Habari kutoka nchi za Afrika, Ndg Abel Fayiah, akitowa shukrani kwa Uongozi wa Mji wa Lijiang, wakati wa ziara yao kutembelea sehemu za historia katika mji huo na kutembelea vituo cha habari vya magazeti na TV, jumla ya waandishi 16 wameshiriki semina hiyo kutoka Nchi za Afrika