Watoto wakiwa katika mchezo wa baskeli katika kiwanja hicho, hutoa huduma mbalimbali za michezo ya watoto kiwanjani hapo.
Moja ya pembea mpya iliofungwa kwa ajili yawatoto wanaofika katika kiwanja hicho kwa michezo wakati wa kipindi hichi cha sikukuu ya Eid El Fitry.
Watoto wakiwa katika mchezo wa pembea ya Train katika kiwanja hicho.
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika kiwanja cha sikukuu cha bustani ya jamuhuri weles Zanzibar.
Foleni ya kusubiri kupanda pembea ya ndege katika viwanja vya bustani ya jamuhuri jana, kiwanja hichi ni kivutio kwa watoto wengi hufika katika kiwanja hichi kwa kupata huduma pembea baada ya kiwanja cha watoto kariakoo kufungwa kwa matengenezo makubwa ya ufungaji wa pembea mpya.
Mambo ya bidhaa za watoto katika viwanja vya sikukuu, watoto wengi Zanzibar hupata muda wa kununua vitu mbalimbali vya michezo wakati wa sikukuu, kama walivyokutwa na mdau wakipata vifaa hivyo.
Watoto wakisherehekea sikuku ya Eid El Fitry katika kiwanja cha sikukuu chaMnazi mmoja jana wakihitimisha siku ya nne ya sikukuu hiyo katika viwanjambalimbali Zanzibar.
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika viwanja vya sikukuu wakipata vitu vya kuchezea na kuwa kumbukumbu ya sikukuu ya Eid El Fitry kwa mwaka huu 2013,
Watoto akiwa katika moja ya banda la biashara ya vitu vya kuchezea katika viwanja vya sikukuu vya mnazi mmoja.