Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 36186

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Awasili Nchini Ivory Coast - African Investment Forum

$
0
0

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mipango na Maendeleo wa Ivory Coast Mheshimiwa Kaba Nialé mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Félix Houphouët Boigny Abidjan nchini Ivory Coast leo tarehe 31 Oktoba 2022. (Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Nigeria ambaye anaiwakilisha pia Tanzania nchini Ivory Coast Dkt.Benson Bana).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akipokelewa na baadhi ya watanzania waishio nchini Ivory Coast mara baada ya kuwasili Abidjan leo tarehe 31 Oktoba 2022.

 








Viewing all articles
Browse latest Browse all 36186

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>