Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman, Sheikh. Saleh Salum, alipofika Ofisini kwake kujitambulisha, baada ya kuaza kazi za katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar.
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamad akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar,Sheikh Saleh Salum, alipofika Osini kwake migombani kujitambulisha kwa Makamo wa Kwanza. wa Rais wa Zanzibar kwa kuanza kazi hivi karibuni katika ofisi ya Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)