Mnazi wa ajabu ukiwa katika moja ya eneo la Zanzibar na kuwa kivutio kwa Wageni wanaofika kuuangalia mnazi huo katika moja ya Wilaya za Magharibu Unguja, Ukiwa na pacha tatu za mnazi huo na zote zimetoa madafu kama unavyoonekana pichani ukiwa umenawiri. Unaweza kuujua uko wapi mnazi huu kazi kwako.