TAARIFA KWA UMMA
RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KAGERA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU, MWANZA NA MARA.
Tume inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili kuanzia tarehe 23/10/2014 mpaka 18/11/2014 kama ratiba inavyoonesha:-
S/N | TAREHE | MAHALI | |
MKOA | WILAYA | ||
KAGERA | |||
1 | 23/10/2014 | BUKOBA MJINI | |
2 | 24/10/2014 – 27/10/2014 | MULEBA | |
GEITA | |||
3 | 28/10/2014 – 29/10/2014 | CHATO | |
4 | 31/10/2014 – 01/11/2014 | BUKOMBE | |
SHINYANGA | |||
5 | 3/11/2014 | KAHAMA | |
SIMIYU | |||
6 | 5/11/2014 – 6/11/2014 | MEATU | |
7 | 8/11/2014 | BARIADI | |
MARA | |||
8 | 10/11/2014 – 11/11/2014 | BUNDA | |
9 | 13/11/2014 -15/11/2014 | TARIME | |
10 | 17/11/2014 – 18/11/2014 | SERENGETI |
Aidha Tume inaendelea kupokea taarifa na malalamiko kwa njia ya barua, simu na barua pepe kwa anwani ifuatayo:-
i. Katibu wa Tume
Tume ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili
SLP 9050
Kivukoni Front
Dar es Salaam
ii. Barua Pepe: opereshenitokomeza@agctz.go.tz
iii. Namba za simu:
Tigo: 0714 826826
Vodacom: 0767 826826
Airtel: 0787 826826
Zantel: 0773 826826
Imetolewa na:
(Signed)
Frederick K.Manyanda
KATIBU WA TUME
17 Oktoba, 2014