VIONGOZI mbali mbali wa serikali wakiongozwa na mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, Mhe:Fatma Abdulhabib Ferej katikati kuliania kwake ni Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakifuatilia kwamakini Mchezo wa Kuigizi uliokuwa
ikitolewa kwa njia ya sanaa ya maigizo katika maadhimisho hayo (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi ofisi wa Mkamo wa kwanza wa Rais zanzibar Mhe:Fatma Abdulhabib Ferej, akiwahutumia wananchi kisiwani Pemba, katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika huko matrekta Chake Chake Pemba.(PIcha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWANDISHI wa Habari wa idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan, akitoa damu salama katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, huko Machomanne Chake Chake Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
ikitolewa kwa njia ya sanaa ya maigizo katika maadhimisho hayo (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi ofisi wa Mkamo wa kwanza wa Rais zanzibar Mhe:Fatma Abdulhabib Ferej, akiwahutumia wananchi kisiwani Pemba, katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika huko matrekta Chake Chake Pemba.(PIcha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIB wa Tume ya Ukimwi Pemba Ali Mbarouk Omar, akimuonesha moja ya vitabu vilivyochapishwa na Tume ya Ukimwi zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkamo wa kwanza wa Rais zanzibar Mhe:Fatma Abdulhabib Fereji, wakati alipotembelea banda la Maonyesho la tume hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MADAKTARI kutoka katika Hospitali ya Jeshi Bububu Unguja wakitoa huduma za upimaji wa VVU katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani huko Machomanne Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)