Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo jipya la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Wete Pemba (kushoto) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said (kulia) kwa Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Wete Pemba jana (kushoto) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu es Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua kitabu cha miaka 50 ya Utendfaji wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali sambamba na Ufunguzi wa jingo la Ofisi uliofanyika jana Wete Pemba (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini na (kulia) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha miaka 50 ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya kukizindua jana samaba na uzinduzi wa jengi la Ofisi hiyo Wete Pemba (kulia) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu es Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Bi.Hawa Natepe kutoka Kampuni ya STARS CONSTRUCTION LTD ambayo imejenga jengo hilo wakati ufunguzi rasmi wa Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Wete Pemba (kushoto) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu es Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said (Picha na Ikulu)