Kampuni ya Kichina inayofanya ujenzi katika uwanja wa kufurahisha watoto kariakoo ikiufanyia ukarabati mkubwa mtaro mwa maji machafu katika eneo hilo kuweza kusafirisha maji hayo ya mvua katika mtaro huo hadi katika mtaro mkubwa unaopeleka maji kilimani baharini.
Mafundi wakitandika makalavati kwa ajili kupitisha maji machafu na ya mvua katika mtaro huo.↧