Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Kongamano la siku ya kimataifa ya haki za binaadamu

$
0
0
 
MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Hemed Khamis, akizungumza na washiriki wa kongamano la siku ya kimataifa ya haki ya binaadamu, lililofanyika kituoni hapo mjini Chakechake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

 
WASHIRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya haki za binaadamu, ambapo kitaifa kwa Pemba lilifanyika kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

 
HAKIMU wa mahakama ya mkoa Chakechake Haji Omar Sumbu, akifungua kongamano la siku ya kimataifa ya haki za binaadamu, lililoandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni mwendesha mashitaka Seif Mohamed Khamis, akifuatiwa na Mratibu wa ZLSC Pemba,  Fatma Hemed Khamis na kushoto ni maofisa mipango wa ZLSC Mohamed Hassan na Safia Saleh Sultan (picha na Haji Nassor, Pemba)   

 
MSHIRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu sheikh Daud Salim Khamis, akichangia jambo kwenye kongamano hilo lililofanyika na kuandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)

MSHRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu Mchungaji Benjamin Kissanga, akichangia mada kwenye kongamano hilo lililofanyika na kuandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>