Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akifungua Mkutano huo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Drt. James Kengia akitoa ufafanuzi wa maswali ya wadau waliokutana
.Bw. Stanley Matowo, mataalam wa maji kutoka sekretarieti ya mkoa wa mwanza akichangia katika kikao hichoShekhe wa Mkoa wa Mwanza Hassan Fereji akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Seleman Mzee wakifatilia kwa karibu mtoa mada katika kikao hicho
Mratibu wa Afya ya mama na Mtoto mkoani Mwanza Secilia Mrema akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari