Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Shirika la habari la China Xinhua, Yan Wei bin, akiwasilisha mada ya Sheria na Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kuripoti habari nchini China , kwa Waandishi wa habari wa Zanzibar wanaohudhuria Semina nchi humo.
Miongoni mwa Waandishi hao wa habari kutoka Zanzibar , wakiwa wanafuatilia kwa makini mada hiyo ili kupima na Wajibu wao kama waandishi wa kuripoti Habari huko Zanzibar .
Mkurugenzi wa Shirika la habari la China XINHUA,akitowa maelezo na kujibu masuala ya Waandishi wa Habari wa Zanzibar walioko China ,juu ya wajibu wa Vyombo vya Habari vya China katika kuandika na kuripoti habari na vipi vimeweza kupiga hatua kubwa ya mawasiliano Duniani kote.
Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar walioko China kwa Semina , wakiuliza masuala juu Wajibu wa Vyombo vya Hbari vya China katika kurusha na kuandika Habari katika Vyombo mbali mbali nchini mwao na vipi China inaweza kushirikiana na Vyombo mbali mbali vya Habari vya Zanzibar .

Waandishi wa Habari kutoka Zanzzibar walioko China kwa Semina , wakiuliza masuala juu Wajibu wa Vyombo vya Hbari vya China katika kurusha na kuandika Habari katika Vyombo mbali mbali nchini mwao na vipi China inaweza kushirikiana na Vyombo mbali mbali vya Habari vya Zanzibar .
Waandishi wa Habari kutoka Zanzzibar walioko China kwa Semina , wakiuliza masuala juu Wajibu wa Vyombo vya Habari vya China katika kurusha na kuandika Habari katika Vyombo mbali mbali nchini mwao na vipi China inaweza kushirikiana na Vyombo mbali mbali vya Habari vya Zanzibar .
Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar walioko China kwa Semina , wakiuliza masuala juu Wajibu wa Vyombo vya Hbari vya China katika kurusha na kuandika Habari katika Vyombo mbali mbali nchini mwao na vipi China inaweza kushirikiana na Vyombo mbali mbali vya Habari vya Zanzibar .
Picha zote na Bakar Mussa, Beijing China