Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Madrasa ya Hidaya Islamia Kitodi, alipofika kwa ajili ya kumuakilishi Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kukabidhi vifaa vya na sare na Misahafu Juzuu kwa ajili ya Wanafunzi wa Madrasa hiyo.
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akimkabidhi Sare za Wanafunzi na Walimu wa Madrasa kwa ajili ya matumizi ya madrasa hiyo vilivyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein.
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali, akimkabidhi misahafu Mwalimu wa Madrasa hiyo Makame Juma.
Wanafunzi wa Madrasa Hidaya Islamia Kidoti wakiwa katika viwanja vya Madrasa yao Kidoti wakati wa sherehe za kukabidhiwa vifaa vyao na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, kwa Niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein.
Wanafunzi wa Madrasa Hidaya Islamia Kidoti wakiwa katika sherehe za kukabidhiwa Vifaa kwa ajili ya madrasa yao mpya, wakiwa katika viwanja vya madrasa yao Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Walimu wa Madrasa Hidaya Islamia Kidoti wakiwa na sare za wanafunzi wao baada ya kukabidhiwa na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, kwa ajili ya Wanafunzi wao ikiwa sare ya Madrasa yao.Jengo jipya la Madrasa Hidaya Islamia Kidoti lililojengwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kwa ajili ya watoton wa madrasa hiyo kupata Elimu ya Dini katika mazingira mazuri, jengo hilo linatarajiwa kufunguliwa kesho Ijumaa.
Jengo la Madrasa Hidaya Islamia Kidoti lililojengwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kwa ajili ya Watoto wa Kijiji hicho kupata elimu ya Dini baada ya jengo lao la zamani, kwa kushirikianana Mama Asha Balozi Seif na Wake wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM Zanzibar. kusaidia jamii katika maendeleo ya Elimu kwa Watoto.