Rais wa Jumuiya ya Mafanyabiashara Wenyeviwanda na Wakulima Mhe Abass, akifunguwa Mafunzo ya Wajasiriamali Wanawake wa Zanzibar katika mafunzo yalioandaliwa na Jumuiya yao, kuingia katika Soko la Kimataifa na Afrika Mashariki, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmin akifungua mafunzohayo ya siku tano.
Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmin akifungua mafunzohayo ya siku tano.
Msimamizi wa Mafunzo hayo akitowa maelekezo kwa washiriki baada ya kufunguliwa na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar.kmatika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.
Muwezeshaji wa Mafunzo ya Wajasiriamali wa Zanzibar Nd. Ilomo Mesia, akitowa mada ya Taratibu na Miongozo ya Kufanya Biashara katika Ukanda wa Afrika Mashariki, mafunzo hayo yamewashirikisha Wajasiriamali wa Unguja na Pemba.
Muwezeshaji wa Mafunzo ya Wajasiriamali Zanzibar Dr. Maryam Nchimbi, akitowa Mada ya Umuhimu wa Tabia za Kijasiriamali katika Kufanya biashara kwenye Ukanda wa Afrika Mashari,mafunzo hayo yameandaliwa na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Zanzibar.
Mwanasheri Omar Said Shaban, akitowa mada ya Kisheria kuhusiana na Afrika Masharaki, kuelewa ufanyaji wa Biashara kwa Wajasiriamali katika Soko la Ukanda wa Afrika Mashariki. akiwasilisha mada yake kwa Wajasiriamali wa Zanzibar ili kujua misingi ya sheria katika kazi zao.