Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA MBIO ZA UHURU (UHURU MARATHON) KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB, KINONDONI, DAR.

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon) zilizomalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Bilal kuhitimisha Tamasha la mbio hizo za Uhuru Marathon, kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Medali ya Dhahabu mshindi wa kwanza Kilometa 21 wa Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Jaqueline Juma, ambaye ni askari wa JWTZ Arusha, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013, zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Medali ya Shaba mshindi wa tatu Kilometa 21 wa Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Kasirini Renchi, ambaye ni askari Magereza, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013, zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam 

 Washindi wa Mbio za Uhuru Marathon 2013, wa Kilometa 21 mshindi wa kwanza Jaqueline Juma, Askari wa JWTZ Arusha (katika) wa pili Angela Temo, kutoka Kenya (kushoto) na wa tatu Kasirini Renchi, Askari Magereza, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao na Medali kwa kutangazwa washindi wa mbio hizo zilizohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>