Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Kansela wa Ujerumani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kansela wa Ujerumani Mhe. Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMakamu wa Rais Mhe.Dkt.Mpango Azungumza na Wananchi wa Kahama
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 18 Januari 2023 akimsalimia na kumpa pole Bi. Prisca Joseph Nyanda mkazi wa Kagongwa wilayani Kahama Mwanamke...
View ArticleMakumbusho ya Taifa ya Majimaji kukuza utalii wa kiutamaduni
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. David Silinde akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wakati alipotembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea. Utalii wa kiutamaduni hapa...
View ArticleRais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mcheza Filamu Maarufu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa...
View ArticleKikao cha Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar
Mjumbe wa kikao akitoa mchango mara baada yakujadili dodoso katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Baraza la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharib “B” Mjini Zanzibar,Mmoja kati ya wajumbe Riziki Shehe Bakar...
View ArticleTaasisi ya Benjamin Mkapa Yakabidhi Fedha kwa Ajili ya Kuimarisha Hiduma za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benjamin Mkapa Foundation Dk,Ellen Mkondya Senkoro(KUSHOTO)akikabidhiwa Hundi ya Fedha Taslim Sh:Milioni Ishirini (20,000,000.)na Mkurugenzi wa Hoteli ya Tulia Group Zanzibar...
View ArticleCCM yatoa wiki moja walimu wote wapate vishikwambi *Ni vilivyotolewa na...
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serika kwa ajili ya walimu vinawafikia...
View ArticleWaziri Mhe.Nape Atembelea na Kukagua Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Wizara...
Idara ya Habari - MAELEZOUjenzi wa jengo la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari unatarajiwa kukamilika Oktoba 2023 hivyo kuongeza ufanisi wa wizara hiyo katika kuwahudumia...
View ArticleMahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Chukwani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume...
View ArticleFirms fight for exclusive rights at Zanzibar airport terminal
Zanzibar’s Abeid Amani Karume International Airport. A legal wrangle has ensued over the granting of exclusive rights to a Dubai-based company for access to a new terminal. PHOTO | FILE | NMG The saga...
View ArticleChama Cha Mapinduzi Kuirudisha Tanga ya Viwanda
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Ndg.Rajabu Abdurhaman akizungumza na wazee wa Mkoa wa Tanga.Na Oscar Assenga, TANGA.MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Tanga Rajabu Abdurhaman amesema wamejipanga...
View ArticleUchumi wa Zanzibar umeimarika kwa nchi kuendelea kuwa ya amani, umoja na...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour...
View ArticleKikao cha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Sheria
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene leo asubuhi pokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleKesi za udhalilishaji zahitaji kasi mpya
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimeishauri Serikali kuongeza juhudi katika kusimamia matukio ya udhalilishaji wa kijinsia (GBV) ili haki iweze kutendeka na kwa...
View ArticleDiwani Kimaya Awataka Wazazi,Walezi Kuwapeleke Watoto wao Kituo cha Sayansi...
Na Oscar Assenga.TangaDIWANI wa Kata ya Chumbageni (CCM) Ernest Kimaya amewataka Wazazi na Walezi Jijini Tanga kukitumia kituo hicho cha Sayansi STEM PARK kwa kuwapeleka watoto wao ili waweze kujifunza...
View ArticleZaidi ya Hati Milki za Ardhi Milioni Moja Kutolewa Kupitia Mradi wa LTIP
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika semina ya siku moja ya Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu Mradi wa...
View ArticleUhusiano wa China na Zanzibar ni wa Kupigiwa Mfano
Na. Maulid Yussuf WMJJWW Zanzibar.Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe Riziki Pembe Juma amesifu ushirikiano uliopo kati ya Zanzibar na China kuwa ni wa kupigiwa mfano.Mhe Riziki...
View ArticleWahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini Kujikita Kwenye Tafiti Zitakazotoa Ufumbuzi wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar wakati wa mahafali hayo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA WIKI YA SHERIA DODOMA JAN 22
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibarahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdallah, Viongozi na...
View Article