Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 36048 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shamra Shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Uwekaji wa Jiwe...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Madaraja Winnie Mdugo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAILIMA, MWAMBEGELE MBEYA KATIKA UBORESHAJI

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia) akikagua mafunzo ya vitendo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata wakati alipotembelea kituo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk,Hussein Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Jengo la Maegesho ya Gari Jijini Zanzibar leo 20-12-2024, ikiwa ni shamrashamra za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA NYUMBA 109 ZA WAATHIRIKA WA HANANG

Muonekano wa nyumba ambazo zimejengwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Msalaba Mwekundu kwa ajili ya  waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Desemba 03, 2023 Hanang, Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKABIDHI NYUMBA 109 KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG *Asema kitendo...

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa nyumba 109 za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Desemba 03, 2023 Hanang, Mkoani Manyara. Amezindua nyumba hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA YA UTALII NI NGUZO MUHIMU KWA UCHUMI WA TAIFA-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Uhifadhi na Utalii zilizofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Mt. Meru jijini Arusha Desemba 20, 2024. Tuzo hizo zinalengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Saudia Arabia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Nishati *...

Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga (kushoto) na Naibu Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia,Mhandisi Mohammed  Albrahim  (kulia) wakizungumza kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Saudi Arabia katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi Sekondari ya Mwanza Girls’...

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa alipoweka jiwe la msingi la shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwanza iliyopo katika kijiji cha Ihushi kata ya Bujashi, Wilayani Magu.  Desemba 21,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Uimariahaji wa Miundombinu katika Viwanja vya ndege kunalenga kuvifanya kuwa bora na kutoa huduma kulingana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP Wambura Afumua Kikosi cha Usalama Barabarani

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watendaji wa Halmashauri Wapigwa Msasa Matokeo ya Sensa ya Mwaka 2022

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis (Mb), akizungumza wakati  wa ufunguzi wa  mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe,Dk,Ali Mohamed Shein Aweka Jiwe la...

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini hafla iliofanyika kijiji cha  Pale Kiongele Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi...

 SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inakusudia kujenga kiwanja chengine kikubwa cha kisasa chenye hadhi ya kimataifa, kitakachotumika kwenye michuano ya AFCON, mwaka 2027.Rais wa Zanzibar na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum...

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akipunga Mkono kuashiria furaha baada ya kupanda Pembea ya Ndege  katika hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman (KULIA) akiondoa pazia kuweka jiwe la Ufunguzi wa Barabara ya Kidimni-Ubago Km 4.3,hafla iliofanyika  Kidimni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa, akivishwa skafu na vijana wa UVCCM, kushoto ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: WATOTO WAPELEKWE SHULE, MSIRUHUSU WAUZE MAANDAZI, KARANGA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kuandaa mkakati maalum...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kuandaa mkakati maalum utakaovutia na kuleta mashindano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Nchemba Akaribisha Saudi Arabia Kuwekeza Tanzania

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (wa pili kulia) akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Uchumi na Mipango wa Saudi Arabia, Eng. Ammar Nagadi, mkutano...

View Article
Browsing all 36048 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>