MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZUIA RUSHWA DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika Kiwanja cha Judo Amaan Mjini Zanzibar kulia yake ni Katibu Mkuu wa...
View Article(Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais – Pretoria, Afrika Kusini)
Na Mwandishi Wetu Afrika Kusini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu...
View ArticleRAIS KIKWETE NA VIONGOZI WAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA NELSON MANDELA LEO UWANJA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura Bush wakiwa jukwaa la viongozi na watu mashuhuri baada ya Kuadhimisha...
View ArticleHuduma ya Usafiri Ikiimarika Zenj
Meli ya Kampuni ya Azam Marine ikiwakatika bandari ya Forodhani ikipakia abiria kwa ajili ya safari zake za kawaida kati ya Unguja na Pemba hadi Dar, meli hii imepunguza tatizo lausafiri katika kisiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAADHIMISHO YA SITA YA KITAIFA YA SIKU YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwangoza baadhi ya Viongozi meza kuu kusimama na kuomboleza kifo cha Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandera,...
View ArticleArticle 6
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA SITA YA KITAIFA YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU NA MAADILI, VIWANJA VYA...
View ArticleMwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari kesho tarehe 11/12/2013: Ndugu...
Mwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari: Ndugu Albert Msando MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo...
View ArticleHITIMISHO LA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za...
View ArticleUdhalilishaji kijinsia wawageukia wanaume Zanzibar .Wanawake wawatwanga waume...
Na Khamisuu AbdallahHUKU mataifa duniani yakiendelea na siku 16 za kupinga udhalilishaji wa kijinsia, mambo yamegeuka Zanzibar ambapo wanawake wanadaiwa kuwanyanyasa wanaume.Kwa ilivyozoeleka wanawake...
View ArticleJengo la Historia la Livingstone Zenj
Jengo la historia katika kisiwa cha Zanzibar ni la Livingstone lilioko katika maeneo ya kinazini Unguja na lilikuwa likitowa huduma ya Ofisi ya Utalii Zanzibar kabla ya Idara hiyo kuvunjwa, na...
View ArticleWawaa Manispa Zanzibar kwa Mashine Mpya za Kazi.
Magari ya Baraza laManispa Zanzibar yakiwa katika viwanja vya Ofisi hizo darajani wakisubiri kukamilika kwa taratibu za kuaza kutumika kwa ajili ya kuuweka Mji wa Zanzibar katika mazingira ya Usafi,...
View ArticleMdau wa Utalii Kizimbani
Mdau wa watembeza watalii katika shamba la Big Bony Kizimbani akiwa katika harakati za za kusuka kofia za makuti kwa ajili ya wateja wake wanaotembelea hapo kujionea viungo vya marashi ya karafuu ya...
View ArticleBenki ya NMB Yakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu ya Baraza
Meneja Huduna za Wateja Benki ya NMB tawi la Zanzibar Abu Msangula, akimkabidhi seti ya Jezi Meneja wa timu ya Baraza la Wawakilishi Nassor Salim Jazeera (mwakilishi wa jimbo la Rahaleo),...
View Article