Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Dk Shein afungua maonesho ya miaka 50 ya Mapinduzi

$
0
0

Hawa ni Watoto na Vijana wakishuhudia matukio muhimu katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,

Waandishi wa habari nao hawako nyuma katika kutafuta habari na kuzisambaza kwa wananchi,katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Baadhi ya Viongozi wakifuatilia kwa makini harakati za ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Viongozi mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Dk Khalid Salum,akitoa shukurani zake pia kumkaribisha Waziri wa Ofisi hiyo katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,pia akiwa mwenyekiti wa maonesho hayo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>