Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na waandishi wa habari juu ya kukamilika kwa sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 5, Maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika kesho katika viwanja vya Amaan na kuhudhuriwa na Wageni mashahuri katika sherehe hizo
Waandhishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali viliko Zanzibar wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitowa maelezo ya kwa kukamilika kwa maandalidhi ya sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa kesho katika viwanja vya Amaan Zanzibar. mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi kwake Vuga.