Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakifuatilia michuano hiyo ya Bonaza la Supa Soko uwanja wa Malindi Zanzibar hufanyika kila siku usiku kuazia 3.30 hadi saa tano usiku.Likiwa limedhaminiwaa kampuni ya simu ya Zantel.
Mchezaji wa timu ya Benki ya Watu wa Zanzibar Issa Ramadhani, akiwa na mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Aleppo,katika mchezo huo timu ya Aleppo imeshinda 3-1.
Mchezaji wa timu ya PBZ akijiandaa kumpita beki wa timu ya Aleppo katika mchezo wa kwanza wa Bonaza la Supa Soko linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja.
Mchezaji wa timu ya PBZ akimpita mchezaji wa timu ya Aleppo Fahim Ismail
Mchezaji wa timu ya Aleppo Fahim Ismail akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya PBZ Ashraf Abdalla. katika mchezo wa Bonaza la Supa Soko, timu ya Aleppo imeshinda 3--1.
Wapenzi wa mchezo wa soka Zanzibar wakifuatilia michezo ya Bonaza.
Golikipa wa timy ya PBZ Hassan Maulid akidaga mpira katka mchezo wa Bonaza la Supa Soko, uliofanyika katika uwanja wa malindi Zanzibar.
Mkurugenzi Masoko waZanzetl Mohammed Mussa Baucha akifuatilia mche kati ya timu za PBZ na Aleppo.
Mchezaji wa timu ya Turky Habib Hamad, akijaribu kumpita beki wa timu ya KMKM MasemoMakungu. katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 2--2
Wachezaji wa timu ya Turky wafutfuatilia mchezo wao na timu ya KMKM, timu hizo zimetoka sare ya 2--2.
Mchezaji wa timu ya Zantel Amour Suleiman akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya Makontena akijaribu kumzuiyakatika mchezo wao wa michuano ya Bonaza la Supa Soko, timu hizo zimetoka sare ya 2--2.
Benchi la timu ya Makontena likifuatilia mchezo wao na timu ya Zantel timu hizo zimetoka sare 2--2.
Wachezaji wa timu ya Zantel wkipata maelezo kutoka kwa kocha wao wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza cha dakika 15.
Wachezaji wa timu za Zantel na Makontena wakiwania mpira katika mchezo huo wabonaza la Supa Soko.timu hizo zimetoka sare ya 2--2.