Zanzibar kuchimba mafuta bila kuingiliwa
Na Hamad Shapandu, KaragweRASIMU ya katiba mpya kama itapitishwa kuwa katiba, itatoa mamlaka kwa Wazanzibari kuchimba mafuta yao bila woga wala kuingiliwa.Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk....
View ArticleAua mtoto wa mumewe kwa kutojisafisha
Na Kadama Malunde, ShinyangaSIKU chache baada ya mtoto mmoja kubakwa, kuuawa kisha mwili wake kuwekwa kwenye boksi na kutupwa karibu na jaa kuu la Ngokolo Mitumbani manispaa ya Shinyanga, mtoto...
View ArticlePinda apokea shehena ya mabomba ya gesi Mtwara
Na Mwandishi wetu, MtwaraWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amepokea shehena ya kwanza ya mabomba ya gesi ya Mtwara kutoka nchini China. Mapokezi hayo ambayo yaliwashirikisha wananchi na viongozi mbali mbali,...
View ArticleMama Shein asaidia ‘sober house’
Na Mwantanga AmeMKE wa Rais wa Zanzibar, mama Mwanamwema Shein, amewataka vijana wanaoishi katika nyumba za kubadilisha tabia (sober house), kuutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kujifunza mambo mema...
View ArticleZanzibar yandaa sera elimu mjumuisho. Posho za walimu wakuu, mjumuisho...
Kauthar Abdalla na Asya HassanWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameijadili na kuipitisha hotuba ya bajeti ya makadirio ya matumizi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa mwaka...
View ArticleDk Shein afanya uteuzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua Said Bakari Jecha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA). Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa...
View ArticleBonaza la Zantel la Maswala ya Papo kwa Papo Viwanja vya Malindi Zenj........
Mkurugenzi Msoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha, akiwa na Maofisa wa Zantel wakiwasilikatika viwanja vya mpira vya timu ya Malindi kwa ajili ya Bonaza la Mpira na kutowa maswali kwa wapenzi...
View ArticleMaoni ya kamati kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya kazi,...
HOTUBA YA MWENYEKITI WA KAMATI YA MIFUGO,UTALII,UWEZESHAJI NA HABARI YA BARAZA LA WAWAKILISHI, ZANZIBAR KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NA...
View ArticleMambo ya Utalii wa Sanaa ya Zenj
Kivutio cha Watalkii wanaofika katika Visiwa vya Zanzibar hutembelea sehemu mbalimbali na na kuvutiwa na sanaa ya Utamaduni wa Zanzibar, kama anavyoonekana Mtalii huyu akichora picha katika moja ya...
View ArticleMambo ya Utalii wa Zanzibar katika Kazi za Mikono ya Makasha.
Mfanyabiashara ya Bidhaa za Utalii Zanzibar Firoz Chest Craft, akiwa katika harakati za utengenezaji wa sanaa hiyi ya milango ya Zanzibar akiwa katika kiwanda chake Hurumzi, Bidhaa hizi za Milango ya...
View ArticleJela miaka 15 kwa kubaka
Na Shemsia Khamis, Pemba MAHAKAMA ya Mkoa ya Chake Chake Pemba, imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Issa Ali Mohamed (28) mkaazi wa Chanjaani, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa kike...
View ArticleWatu 22,188 wapofuka
Na Rose Chapewa, KilomberoMRATIBU wa huduma za macho mkoa wa Morogoro, Dk. Sencord Njau amesema inakadiriwa watu 22,188 wana tatizo la upofu katika mkoa wa Morogoro na kwamba kati yao 11,094 tatizo...
View ArticleMwanachuo afariki ghafla akitafuta kazi mgodini
Na Kadama Malunde, ShinyangaMAMIA ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Zuhura Mashaka aliyefariki ghafla alipokwenda kutafuta...
View ArticleTani 22 za karafuu zanunuliwa wiki moja
Na Masanja Mabula, PembaTANI 22.521 za karafuu kavu zenye thamani ya shlingi milioni 315, 039,000 zimenunuliwa na Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) kisiwani Pemba katika kipindi cha wiki...
View ArticleJaji ajiondoa kesi ya mauaji ya Padri Mushi
Na Khamis AmaniJAJI Mkusa Isaac Sepetu wa mahakama kuu Zanzibar anaesikiliza kesi ya mauaji ya Padri Evaristus amejitoa kusikiliza kesi hiyo.Jaji Mkusa amejitoa kufuatia maombi yaliyowasilishwa na...
View ArticleRais wa Zanzibar Dkt. Shein Ajumuika na Wananchi wa Wilaya ya Wete katika...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Wanancni waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa karume Pemba...
View ArticleMichuano ya Bonaza Uwanja waMalindi Zenj..
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakifuatilia michuano hiyo ya Bonaza la Supa Soko uwanja wa Malindi Zanzibar hufanyika kila siku usiku kuazia 3.30 hadi saa tano usiku.Likiwa limedhaminiwaa...
View Article